Somalia yapaza sauti dhidi ya mpango unaodaiwa wa Israel wa kujenga kambi ya jeshi Somaliland
Manmo mwezi Desemba mwaka uliyopita, Israel ilikuwa nchi ya kwanza duniani kuitambua Somaliland. Eneo hili lililojitenga lilitangaza uhuru wake kutoka Somalia mnamo 1991 na kutekeleza uhuru wake kikamilifu, lakini Somalia inaendelea kudai eneo hilo, na hakuna nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa, hadi wakati huo, iliyoitambua rasmi Somaliland kama taifa huru.
2026-03-16 08:35:15