Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania mikutano ya Jumuiya ya Madola London
Kikao cha CMAG kinatarajiwa kujadili utekelezaji wa maamuzi ya awali ya jumuiya hiyo pamoja na kuimarisha misingi na tunu zake, ikiwemo utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria katika nchi wanachama.
2026-03-07 09:04:12