Loading

Slzii.com Search

Search (News)

DRC: Misaada ya kibinadamu yapelekwa Minembwe, mojawapo ya maeneo yaliyotengwa zaidi na vita

DRC: Misaada ya kibinadamu yapelekwa Minembwe, mojawapo ya maeneo yaliyotengwa zaidi na vita
swahili top crime

Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, timu ya kibinadamu ya ICRC imefanikiwa kufika eneo la Minembwe katika nyanda za juu za mkoa wa Kivu Kusini, pande zote mbili za mstari wa mbele. Ili kufanikisha hili, walipata makubaliano ya amani ya kibinadamu ya siku chache kutoka kwa pande zinazopigana, na kuruhusu muda kwa msafara kufika, kufanya kazi yake, na kuondoka. Mchango wa awali ulitolewa mishoni mwa wiki hii iliyopita.
2026-05-04 14:34:54

What are you doing?

0.066719055175781


News
News

Latest News and Headlines
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, timu ya kibinadamu ya ICRC imefanikiwa kufika eneo la Minembwe katika nyanda za juu za mkoa wa Kiv...
News