Loading

Slzii.com Search

Search (News)

Mali: JNIM na FLA wanasonga mbele, utawala wakataa kujisalimisha

Mali: JNIM na FLA wanasonga mbele, utawala wakataa kujisalimisha
swahili top politics

Nchini Mali, baada ya kuiteka Kidal mwihini mwa wiki iliyopita, wanajihadi wa kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM) na waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) walichukua udhibiti wa kambi za kijeshi za Tessalit na Aguelhoc siku ya Ijumaa, Mei 1. Kusonga mbele kwao kunasababisha wasiwasi miongoni mwa wakazi wa miji mikubwa kaskazini mwa Mali.
2026-05-02 06:05:28

What are you doing?

0.05969500541687


News
News

Latest News and Headlines
Nchini Mali, baada ya kuiteka Kidal mwihini mwa wiki iliyopita, wanajihadi wa kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM) na waa...
News