Mahakama Kuu ya Marekani siku ya Alhamisi, Juni 25, 2026, imeipa ushindi utawala wa Trump, ikiidhinisha kufuta Hadhi ya Muda ya Ulinzi (TPS), hadhi iliyoruhusu zaidi ya raia 350,000 wa Haiti kuishi kihalali nchini Marekani. Watu hawa sasa wako chini ya usimamizi wa Mamalaka ya Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE), ambayo inaweza kuwafukuza hadi Haiti wakati wowote.
2026-06-26 06:56:03